Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wialaya Chunya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzia wenye sifa zinazotakiwa ili kujaza nafasi za kazi zifuatazo:-
Dereva Daraja La II - (TGOS A)
Sifa
Mwombaji awe na Elimu ya kidato cha (IV), mwenye Leseni daraja “C” ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usioppungua miaka mitatu bila kusababisha ajali, mwenye cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II
Kazi na Majukumu
(i) Kuendesha magari ya abiria na malori
(ii) Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitajika matengenezo
(iii) Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari; na
(iv) Kutunza na kuandika daftari la safari “Log - book kwa safari zotE

Afisa Wa Kijiji III - NAFASI 1 (TGS B)
Sifa:
Mwombaji awe na Elimu ya Kidato cha (IV) au (VI) aliyehitimu mafunzo ya cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
Kazi na Majukumu
(i) Kuwa Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
(ii) Kusimamia Ulinzi wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji
(iii) Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji
(iv) Kuwa katibu wa Mikutano na kamati zote za Halmashauri ya Kijiji
(v) Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na taratibu
(vi) Kuandaa taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo la kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa umaskini na kuongeza uzalishaji mali
(vii) Kuwa kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalamu katika Kijiji
(viii) Kusimamia, Kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji
(ix) Mwenyekiti wa kikao cha Wataalamu waliopo katika kijiji
(x) Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi
(xi) Kusimamia utungaji wa Sheria ndogo ndogo za kijiji; na
(xii) Utawajibika kwa Mtendaji wa Kata
MASHARTI KWA UJUMLA
(i) Mwombaji sharti awe Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 45
(ii) Waombaji walio katika ajira wapitishe maombi kwa waajiri wao
(iii) Mwombaji aambatanishe picha 2 (Passport size) na nakala za vyeti katika barua ya maombi
(iv) Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 04/03/2015
(v) Tarehe ya usaili kwa watakaokidhi vigezo itatangazwa baadae

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yatumwe kwa:
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA
S.L.P 73
CHUNYA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA
S.L.P 73
CHUNYA
AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA - FEB 2015
Reviewed by Unknown
on
1:44:00 AM
Rating: