Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo imepokea kibali cha Ajira Kumb namba CB.170/363/01/'I'/33
cha tarehe 23 Julai 2015 na Ajira mbadala chenye Kumb. Na. C8.170/36301/H/74.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo anawatangazia wananchi wote wenye
sifa kutuma maombi kwa kuzingatia vigezo na maelekezo yaliyo katika Tangazo hili.
Mtendaji Wa Kijiji Daraja La III (Nafasi 1)
Sifa
Awe na Elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/ cheti
katika mojaya fani zifuatazo:- Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii Usimamizi wa Fedha , Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Ngazi ya mshahara
Kwa kuzingatia viwango vya mishahara vya Serikali ngazi ya mshahara ni TGS B kwa mwezi.
Majukumu ya kazi
Afisa masuhuli Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji.
Kusimamia u1inzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika Kijiji.
Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji
Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Kijiji.
Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.
Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya kitaalam katika Kijiji.
Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi
kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
Kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu.
Kusimamia utungaji wa sheria ndogo za Kijiji
Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi na
Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata

Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi -Nafasi (5)
Sifa Kuajiriwa wahitimu kidato cha nne (IV) waliofuzu mafunzo ya cheti kwenye fani ya Maendeleo ya Jamii katika vyuo vya Maendeleo ya Jamii au vyuo vingine vinavyotambulika na Serikali.
Majukumu ya Afisa Maendeleo ya Jamii daraja lam
Kuratibu shughuli za Maendeleo ya Jamii kiatika Kijiji zikiwemo za wanawake na watoto na kuzingatia jinsia.
Kuwezesha Jamii kushiriki katika kubuni, kupanga, kutekeleza, kusimamia, kutathimini
mipango/rniradi ya Maendeleo.
Kuhamasisha na kuwezesha wananchi kupanga na kutekeleza kazi za Maendeleo ambazo ni pamoja na usafi wa mazingira, ujenzi wa nyumba bora vijijini, ujenzi wa shule, zahanati, majosho,
barabara za vijijini, uchimbaji wa visima vifupi na uchimbaji wa marambo.
Kutoa na kuwezesha upatikanaji wa mafunzo kwa viongozi wa kijiji na vikundi mbalimbali
vya Maendeleo kijijini kuhusu:- Utawala bora na uongozi, Ujasiriamali, Mbinu shirikishi Jamii na kazi za kujenga Taifa, Chakula bora na lishe.
Utunzaji na malazi bora ya watoto Kuhamasisha na kuwawezesha wananchi
kupanga mbinu za kutatua vikwazo vya Maendeleo hasa vya maji na nishati kwa kuwa
na miradi ya uvunaji wa maji ya mvua, majiko sanifu na matumizi ya mikokoteni.
Kuwa kiungo kati ya wanakijiji (Afisa Mtendaji wa Kata) na watumishi wengine wa Serikali
katika kutekeleza shughuli za Maendeleo.
Kuwawezesha wananchi kupanga na kutekeleza kazi za kujitegemea.
Kuwawezesha wananchi kubaini na kuratibu rasilimali zilizopo na kizitumia katika miradi ya kujitegemea.
Kukusanya, kutunza, kutafsiri na kuwasaidia
wananchi kutumia takwimu na Kumbukumbu mbalimbali za Kijiji.
Kuwawezesha viongozi wa vijiji kutumia mbinu shirikishi Jamii kuandaa ratiba za kazi na mipango ya utekelezaji.
Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo.
Kuratibu shughuli za mashirika na Asasi zisizo za kiserikali na za kijamii
Kuratibu shughuli za kupambana na UKlMWI.
Msaidizi wa Kumbukumbu daraja la II (Nafasi 2)
Sifa
Awe na Elimu ya kidato cha sita (VI I) awe na cheti cha utunzaji kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala na Ardhi.
Ngazi ya mlhahara
Kwa kuzingatia viwango vya mishahara vya Serikali ngazi ya mshahara ni TGS B kwa mwezi.
Majukumu ya kazi
Kutafuta Kumbukumbu/ Nyaraka/Mafaili yanayohitajiwa na watumiaji.
Kuthibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/Nyaraka,
Kuchambua, kuorodhesha na kupanga
Kumbukumbu/Nyaraka katika makundi
kulingana na somo husika kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
Kuweka/kupanga kumbukumbu/ Nyaraka katika [Masijala/ vyumba vya kuhifadhi
kumbukumbu)
Kushughulikia maombi ya Kumbukumbu/ Nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
Mwombaji awe Raia wa Tanzania
Mwombaji awe na urnri kati ya miaka 18 hadi 40.
Barua zote ziandikwe kwa mkono na ziambatanishwe na nyaraka zifuatazo:-
Maelezo binafsi (CV)
Nakala za vyeti kidato cha nne au sita na cheti cha kuzaliwa, na cheti cha taaluma
Picha ndogo moja (passport size) ya hivi karibuni
Transcript "Testimonial" Provisional Result au Statement of Result havitakubaliwa.
Jinsi ya kutuma maombi
Barua zote ziwe na anuani ya mwombaji na namba ya simu (kama ipo) na zitumwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo
S.L.P.2324
KILOLO
Tarehe ya mwisho kupokea maombi ni tarehe
14/12/2015 saa tisa na nusu (9:30) alasiri.
Imetolewa na
R. MUWANGO
MKURUGENZI MTENDAJI

Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo
Reviewed by Unknown
on
2:01:00 AM
Rating: