Examinations Council of Tanzania, Water Development and Management Institute,
Tanzania Airport Authority, Tanzania Engineering, Manufacturing Design Organization,
Weight and Measure Agency, TEMESA, Mwalimu Nyerere Memorial Academy,
Geological Survey of Tanzania, Tanzania Trade Development Authority, Government
Chemistry Laboratoy Agency, Tanzania Mateological Agency na Tanzania Public Service
College anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi, waombaji
kazi watakaofaulu usaili.
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti utafanyika saa 1:00 kabla ya muda wa mtihani wa mchujo
kuanza.
2. Kwa wale wasiokuwa na mtihani wa mchujo usaili utaanza saa moja kamili
asubuhi (1:00) na utafanyika mahali na tarehe kama inavyoonesha katika nafasi
husika.
3. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi,
kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k
4. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne, sita,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa
za mwombaji.
5. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za
kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS)
HAVITAKUBALIWA.
6. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
7. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
8. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili
9. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
10. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na
kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU & NECTA)
11. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa
maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za kazi
zitakapotangazwa.
12. Kada zenye mchujo, wasailiwa watakaofaulu mtihani wa mchujo wazingatie
mahali na tarehe za usaili wa mahojiano kama ilivyooneshwa kwenye tangazo
Tangazo la kuitwa kwenye Usaili-Mei 2015 (Call for Interview)
KUITWA KWENYE USAILI - Mei 2015 (Call for Interview)
Reviewed by Unknown
on
2:00:00 AM
Rating: