MLANDIZI SACCO’S LTD ,ni chama cha AKIBA Na MIKOPO cha wafanyakazi wa DAWASCO na wajasiliamali wa mkoa wa Pwani na Dar essalaam .killanzlshwa mwaka 1981, makao makuu MLANDIZI, PWANI
NAFASI YA MHASIBU
- Awe Mtanzania
- Awe na Advanced Diploma au Degree ya uhasibu kutoka chuo kinachotambulika.
- Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu (3).
- Awe na ujuzl wa kutumia computer
- Awe na uzoefu wa shughuli za ushirika.
MAJUKUMU YAKE
- Kufanya shughuli zote za fedha.
- Kufanya malinganisho ya mapato na matumizi ya kila siku.
- Kufanya malinganisho ya bank kila mwezi.
- Kuandaa hesabu za robe mwaka,nusu mwaka na mwaka mzima
- Kufanya malipo yote yalioizinlshwa,
- Na kazi zingine atakazo pangiwa na bodi ya CHAMA.
MAOMBI YATUMWE KWA MWENYEKITI WA
BODI YA MLANDIZI SACCOS LTD.
S. L. P 114.
MLANDIZI, KIBAHA.
BODI YA MLANDIZI SACCOS LTD.
S. L. P 114.
MLANDIZI, KIBAHA.
AU YALETWE KWA MKONO KATIKA OFISI ZA MLANDIZI SACCOS LTD ZILIZOKO KARIBU NA STENDI KUU YA MABASI MiANDIZI. MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 18.9.2013.
NAFASI YA KAZI YA MHASIBU
Reviewed by Unknown
on
1:05:00 AM
Rating: