NAFASI 8 ZA KAZI KARAGWE: MTAKWIMU (DATA CLERK)
Napenda kuwatangazia nafasi ya kazi kwa raia wote wa Tanzania mwenye sifa; wakwe kwa waume
MAJUKUMU YAKE
- Kufuatilia na kukusanya takwimu kutoka vituo vya tiba
- Kufanya uchambuzi wa takwimu
- Kuunganisha taarifa
- Kuandaa taarifa za mwezi, robo na mwaka
- Kutunza vifaa utakavyokuwa umekabidhiwa
- Kumsaidia mratibu wa UKIMWI NA KIFUA KIKUU
Ajira hii ni ya mkataba wa mwaka mmoja
JINSI YA KUOMBA
Barua ya maombi iambatanishwe na vitu vifuatavyo
- Anuani unayotumia sasa, picha na namba za simu
- CV (maelezo yanayojitosheleza)
- Nakala za vivuli vya vyeti kilingana na matakwa ya nafasi iliyoombwa
- Nakala ya vyeti vya kidato cha nne, na sita
Kwa walio katika mkataba tayari, barua za maombi zipitishwe na waajiri wasimamizi wa vituo vya kazi kwa sasa kwaajili ya kuhuisha mikataba yao
Barua zote zinadikwe kwa mkono/kuchapwa na kutumwa kwa
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA,
S.L.P. 20,
KARAGWE
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 22 November 2016

NAFASI ZA KAZI UTUMISHI - MWISHO 22 NOV 2016
Reviewed by Unknown
on
7:04:00 AM
Rating: