Loading...

NAFASI ZA KAZI Ununio College of Health and Allied Scienc

Source Dailynews,9th Nov 2016

NAFASI ZA KAZI
Ununio College of Health and Allied Science., Chuo ambacho kimeomba usajili, kinawatangazia nafasi za kazi za Ualimu (TUTOR), Uuguzi na Ukunga kwa ajili ya kufundisha hapa chuoni.

Sifa za muombaji ni: ,

i. Shahada ya Uuguzi (BSe in Nursing) au zaidi
li. Awe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 2
iii. Cheti cha Ualimu kutoka chuo kinachotambuliwa na TNMC
iv. Amesajiliwa na Baraza la Uuguzi na Ukunga TNMC

Application Instructions
Maombi yatumwe yakiwa yameambatanishwa na: 1. Picha 3 passport size 2. Maelezo binafsi (CV) 3. Nakala kivuli cha vyeti (cha kuzaliwa,vya taaluma na fani) Maombi yote yatumwe kwa: MKURUGENZI WA UTAWALA, MUNAZZAMAT AL- OA'AWA AL-ISLAMIYYA, S.L.P 7206, Email: almogtaba1992@yahoo.com 0784893039, 0713508555 DAR ES SALAAM. au Fika ofisini kwetu Mikocheni 'B' Mtaa wa Warioba Nyumba Na 36. Imetolewa na: Dr Khalid Abdallah
Newer Posts Older Posts
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

LIKE US ON FACEBOOK

© Copyright KaziBongo | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top