Loading...

KUITWA KWENYE USAILI 04 December 2016

INTERVIEW INTERVIEW INTERVIEW INTERVIEW !! TABASAMU HOUSE 2016
Ni Kipindi cha watoto kinachoonesha maisha ya watoto wanapokuwa nyumbani na majukumu yao ya kila siku
SIFA ZA MSHIRIKI
1. Miaka 7 mpaka 10
2. Awe anajua kuongea lugha ya Kiswahili au Kiingereza
3. Awe na uwezo wa kujieleza vizuri
4. Mchangamfu
5. Mcheshi
Washiriki watakaa TABASAMU HOUSE kwa muda wa siku 30 na BIBI TABASAMU. Washiriki watashiriki shughuli zote ambazo anatakiwa kufanya nyumbani,Washiriki watapewa changamoto mbalimbali za kupima uwezo wao wa kufikiri na kutatua kwa haraka. Washiriki watakuwa na muda wa darasani ambapo watafundishwa na waalimu wenye uzoefu kutoka #FountainGateAcademy kulingana na darasa lake. Shughuli zote watakazokuwa wanafanya zitakuwa zinarekodiwa na kuoneshwa kupitia TV na Smartphone yako. Kisha utampigia kura mshiriki unayempenda aendelee kubaki TABASAMU HOUSE mpaka atakaposhinda.
MSHINDI atasomeshwa mpaka atakapomaliza darasa la 7 **MLETE MWANAO ASHIRIKI USAHILI UTAKAMUWEZESHA KUINGIA TABASAMU HOUSE 2016** Wasiliana nasi kwa +255 715254585
Usahili utafanyika 04 December 2016 Harbours Club Kurasini - Mivinjeni
#TabasamuHouse2016
@tabasamumwanangu @tabasamumwanangu
Newer Posts Older Posts
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

LIKE US ON FACEBOOK

© Copyright KaziBongo | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top