Start Date: Jul 15, 2012
Position Description:
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni kituo cha otoaji tiba asilia tunatangaza nafasi za kazi zifuatazo
1. Mtaalamu wa Tiba Asilia ( Nafasi Moja )
SIFA:
1. Umri miaka 25 hadi 40
2.Elimu kuanzia kidato cha nne.
3. Awe anatambuliwa na Baraza la Wakunga wa Tiba Asilia Tanzania.
4. Awe mwenye afya njema
5. Awe na ujuzi na uzoefu wa kutosha kuhusu tiba mbalimbali asilia.
6. Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili.
7. Awe muaminifu
2. MTAALAMU WA MASUALA YA VYAKULA ,MIMEA NA LISHE
SIFA ( Nafasi Moja )
1. Umri miaka 23 hadi 40
2. Awe na DIPLOMA IN FOOD & NUTRITION kutoka katika chuo kinacho tambuliwa na serikali AU
3. Awe na DIPLOMA IN BOTANY kutoka katika chuo kinacho tambuliwa na serikali.
4. Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja.
3. MTAALAMU WA KUSINDIKA VYAKULA, VINYWAJI NA MIMEA. ( Nafasi Moja )
1. Umri miaka 20 hadi 40
2. Awe na Elimu na ujuzi wa kutosha wa masuala ya usindikaji vyakula, vinywaji na mimea kutooka katika chuo kinacho tambuliwa na serikali.
3. Uzoefu miaka miwili.
Tuma maombi yako kwenda kwa Managing Director, Neema Herbalist & Nutrtional Foods Clinic.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10 JULAI 2012. SAA KUMI KAMILI JIONI.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe : neemaherbalist@gmail.com
Maombi yote yaambatanishwe na vivuli vya vyeti vya muombaji.
Application Instructions:
Kwa maelezo zaidi kuhusu nafasi hizi tafadhali tembelea blogu yeto : http://www.neemaherbalist.blogspot.com
No comments: