Loading...

VITUO VYA KAZI WIZARA YA AFYA

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kuwajulisha wanafunzi wote waliohitimu vyuo vya afya nchini mwezi Machi 2012, kufika Wizarani ili waweze kuchukua barua za kupangiwa vituo vya kazi kabla ya tarehe 30 June,2012.

Pia waombaji wengine waangalie majina yao kwenye website ya Wizara

Au Tembelea
http://www.tiis.go.tz/employees/

Imetolewa na:
Regina L. Kikuli
Kaimu Katibu Mkuu
21/06/2012
Newer Posts Older Posts
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

LIKE US ON FACEBOOK

© Copyright KaziBongo | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top