Loading...

KUITWA KWENYE USAILI - GAMING BOARD OF TANZANIA , MAY 2017

Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania inapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi Machi 2017 , kuwa kutakuwa na usaili (written interview) siku ya Alhamisi, 8 Juni 2017 katika ukumbi wa Taasisi ya Elimu ya Watu wazima karibu na chuo cha CBE , Kuanzia saa 4 Asubuhi :

Bodi inapenda kuwafahamisha kuwa majina ya waliochaguliwa kuhudhuria usaili
yanapatikana katika gazeti la DAILY NEWS Monday , May 15 , 2017 . Tafadhali fika na
kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Waombaji ambao majina yao hayatakuwepo katika orodha hii wanaombwa kuchukulia kuwa hawakufanikiwa.

Wasailiwa wote watajigharamia malazi na usafiri
Newer Posts Older Posts
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

LIKE US ON FACEBOOK

© Copyright KaziBongo | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top