The Tanzania Revenue Authority (TRA) is a government agency of Tanzania, charged with the responsibility of managing the assessment, collection and accounting of all central government revenue. It is a semi-autonomous body that operates in conjunction with the Ministry of Finance and Economic Affairs. The current chairperson of the TRA is Prof. F.M. Luoga. Offices of the TRA are located in Dar es Salaam.
The TRA was established by Act of Parliament Not. 11 of 1995, and it started its operations on 1 July 1996. In carrying out its statutory functions, TRA is regulated by law, and is responsible for administering impartially various taxes of the Central Government.
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), waliofanya usaili kuanzia tarehe 25-28 Septemba, 2017 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa
kwenye tangazo hili.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo Barabara ya Bibi Titi Mohamed, Jengo la Maktaba Kuu ya Taifa, ghorofa ya pili, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kuanzia tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazijachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea pamoja na
cheti cha kuzaliwa ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa
MAJINA YA WALIOITWA KAZINI

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TANZANIA REVENUE AUTHORITY
Reviewed by Unknown
on
3:13:00 AM
Rating: