KUITWA KWENYE USAILI - GAMING BOARD OF TANZANIA , MAY 2017

Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania inapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi Machi 2017 , kuwa kutakuwa na usaili (written interview) siku ya Alhamisi, 8 Juni 2017 katika ukumbi wa Taasisi ya Elimu ya Watu wazima karibu na chuo cha CBE , Kuanzia saa 4 Asubuhi :

Bodi inapenda kuwafahamisha kuwa majina ya waliochaguliwa kuhudhuria usaili
yanapatikana katika gazeti la DAILY NEWS Monday , May 15 , 2017 . Tafadhali fika na
kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Waombaji ambao majina yao hayatakuwepo katika orodha hii wanaombwa kuchukulia kuwa hawakufanikiwa.

Wasailiwa wote watajigharamia malazi na usafiri
KUITWA KWENYE USAILI - GAMING BOARD OF TANZANIA , MAY 2017 KUITWA KWENYE USAILI - GAMING BOARD OF TANZANIA , MAY 2017 Reviewed by Unknown on 11:06:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.