• Stashahada ya juu ya uhasibu
• Cheti cha uhasibu
• Ujuzi wa kutimia kompyuta
• Uzoefu wa kuongea vzuri lugha ya kiswahli na kiingereza
• Awe na ujuzi wa angalau moja ya program ya mahesabu
Application Instructions:
Waombaji waambatanishe cheti cha kuzaliwa , barua za maombi ziambatanishwe na maelezo binafsi yanayojitosheleza pamoja na picha 2 za passportsize
Maombi yote yaambatanishwe na nakala za vyeti vya taaluma na vyeti muhimu vya mafunzo mbalimbali kuzingatia na kazi uhusika
Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45
Maombi yatumwe
Afisa Mwajiri
SLP 63217
Dar es Salaam, Tanzania
Mhasibu Wakala wa Uchukuzi na Usafirishaji
Reviewed by Unknown
on
2:17:00 AM
Rating:
No comments: