• Wenye shahada ya kawaida ya usafirishaji, uzoefu wa angalau miaka mitatu na kuendelea
• Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta hasa Excel,word na internet
Application Instructions:
Waombaji waambatanishe cheti cha kuzaliwa , barua za maombi ziambatanishwe na maelezo binafsi yanayojitosheleza pamoja na picha 2 za passportsize
Maombi yote yaambatanishwe na nakala za vyeti vya taaluma na vyeti muhimu vya mafunzo mbalimbali kuzingatia na kazi uhusika
Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45
Maombi yatumwe
Afisa Mwajiri
SLP 63217
Dar es Salaam, Tanzania
Afisa Usafirishaji (2) Wakala wa Uchukuzi na Usafirishaji
Reviewed by Unknown
on
2:16:00 AM
Rating:
No comments: