Katibu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi za Wakala na Chuo hicho kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 28 - 29 Desemba, 2017 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-
i. Usaili wa Mchujo utafanyika tarehe 28 Desemba, 2017 kama ilivyoainishwa kwenye tangazo, muda wa usaili umeainishwa kwa kila Kada
ii. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
iii. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
iv. Wasailiwa wanatakiwa kufika na Vyeti Halisi vya kuanzia kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji
v. Wasailiwa watakaokosa Vyeti halisi na badala yake kuwasilisha “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha IV na VI (FORM IV AND FORM VI
RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
vi. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
vii. Kila Msailiwa azingatie tarehe na mahali alipopangiwa kufanya usaili.
viii. Kila Msailiwa afike na picha yake „passport size‟
ix. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA)
x. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwahawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa
ORODHA YA MAJINA

KUITWA KWENYE USAILI UTUMISHI - 12/18/2017
Reviewed by Unknown
on
8:58:00 AM
Rating:
No comments: