Wafuatao hapa chini wamechaguliwa kuhudhuria usaili utakaofanyika katika hospitali ya Rufaa ya Bugando katika tarehe zilizotajwa katika jedwali . Tafadhali fika na kalamu ya kuandika pamoja na vyeti vyote muhimu ambavyo nakala zake ziliambatanishwa na ambayo havikuambatanishwa . Waombaji watajigharamia gharama za malazi , nauli na chakula katika kipindi cha usaili .
Orodha ya Waliochaguliwa inapatikana katika gazeti la MWANANCHI - JUMATATU , DESEMBA 7 , 2015 UKURASA WA 16 .
KUITWA WENYE USAILI BUGANDO MEDICAL CENTRE - 12/7/2015
Reviewed by Unknown
on
4:03:00 AM
Rating: