Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ardhi Institute Morogoro, Baraza la Kiswahili la Taifa, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Business Registrations And Licensing Agency (BRELA), College Of African Wildlife Management (MWEKA), The E - Government Agency (EGA), Geological Survey Of Tanzania (GST), Institute Of Judicial Administration Lushoto (IJA), Occupational Safety And Health Authority (OSHA), Procurement And Supplies Professionals and Technicians Board (PSPTB), Taasisi Ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TASUBA), Tanzania Atomic Energy Commission (TAEC), Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), Tanzania Cotton Board(TCB), The Tanzania Electrical, Mechanical And Electronics Services Agency (TEMESA). Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI), Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA), Tanzania Meteorological Agency (TMA), Tanzania Public Service College (TPSC), Tanzania Smallholder Tea Development Agency (TSHTDA), Tanzania Trade Development Authority (TAN TRADE), The Marine Parks And Reserves(TFDA), The Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA), The National Examinations Council Of Tanzania (NECTA), The Tanzania Engineering, Manufacturing Design Organization (TEMDO), Tume Ya Haki Za Binadamu Na Utawala Bora, Wakala Wa Vipimo (WMA), MDAS & LGAS, Ministry of Natural Resources na Tanzania Forest Service Agency anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi, waombaji kazi watakaofaulu usaili.
Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti utafanyika saa 1:00 kabla ya muda wa mtihani wa mchujo kuanza.
2. Kwa wale wasiokuwa na mtihani wa mchujo usaili utaanza saa mbili (2:00) asubuhi na utafanyika katika mahali na tarehe kama inavyoonyesha katika nafasi husika.
3. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi, kupigia kura, benki, kazi, hati ya kusafiria n.k
4. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) za kuanzia kidato cha nne, sita, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji.
5. “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
6. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
7. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
8. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili
9. Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
10. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za kazi zitakapotangazwa.
TANGAZO LA USAILI (26 AGOSTI - 16 SEPTEMBA 2015)
(Call for Interview)
Call for Interview - TANGAZO LA USAILI (26 AGOSTI - 16 SEPTEMBA 2015)
Reviewed by Unknown
on
2:01:00 PM
Rating: