Matokeo ya kidato cha nne 2014/2015
Ili kuona matokeo ya CSEE, bofya hapa na kwa matokeo ya QT, bofya hapa
Katibu Mtedaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dk Charles Msonde ametangaza matokeo ya mitihani ya Shule za Sekondari ya Kidato cha Nne ya mwaka jana na kusema, kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 10 ikilinganishwa na matokeo ya mwaka 2013.
Dk Msonde amesema kuongezeka kwa kiwango cha ufaulu kutoka asilimia 58.25 hadi asilimia 68.33 kumetokana na mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now - BRN).
Dk Msonde ameishukuru Serikali kwa BRN na Walimu kwa jitihada zilizofanikisha kupatikana kwa matokeo hayo.
Matokeo haya yametolewa kwa kutumia mfumo mpya wa wastani wa pointi badala ya madaraja kama ilivyozoeleka kwa miaka iliyotangulia.
Baraza hilo limewafutia metokeo watahiniwa 128 wa kujigetemea kutoka vituo vya Kisesa mkoani Mwanza na Lubabo huko Zanzibar kutokana na udanganyifu uliokithiri
Shule 10 bora-Kitaifa
1.Kaizirege-Kagera
2.Mwanza Alliance-Mwanza
3.Marian Girls-Pwani
4. St. Francis-Mbeya
5.Abbel-Mtwara
6.Feza Girls
7.Canossa-Dar
8.Bethel Sabs Girls-Iringa
9. Marian Boys-Pwani
10.Fedha Boys
1.Kaizirege-Kagera
2.Mwanza Alliance-Mwanza
3.Marian Girls-Pwani
4. St. Francis-Mbeya
5.Abbel-Mtwara
6.Feza Girls
7.Canossa-Dar
8.Bethel Sabs Girls-Iringa
9. Marian Boys-Pwani
10.Fedha Boys
Shule 10 za Mwisho
1.Manolo-Tanga
2.Chokocho-Pemba
3.Kwaluguru-Tanga
4.Relini-Tanga
5.Mashindei-Dar es Salaam
6.Njelekela Islamic Seminary-Kigoma
7.Vudee-Kilimanjaro
8.Mnazi-Tanga
9.Ruhembe-Morogoro
10. MAGOMA-Tanga
1.Manolo-Tanga
2.Chokocho-Pemba
3.Kwaluguru-Tanga
4.Relini-Tanga
5.Mashindei-Dar es Salaam
6.Njelekela Islamic Seminary-Kigoma
7.Vudee-Kilimanjaro
8.Mnazi-Tanga
9.Ruhembe-Morogoro
10. MAGOMA-Tanga
Matokeo ya kidato cha nne 2014 - CSEE 2014 EXAMINATION RESULTS
Reviewed by Unknown
on
1:39:00 AM
Rating: