Tunahitaji mhasibu mwenye sifa zifuatazo:
1. Degree in ACCOUNTING na CPA
2. Kwenye degree awe amepata GPA sio chini ya 3.8
3. Working experience yake kwenye Accounting field ISIWE chini ya miaka MINNE
4. Awe anajua kutumia vizuri Microsoft Powerpoint na EXCEL
5. Ajue ku debit na ku credit (wengi mnashangaa hili, ila wapo wengi sana hawajui ku debit au ku credit)
Kama tu una sifa hizo hapo juu, basi kwa confidence kabisa omba kazi kama ifuatavyo:
Email to: recruitment@sfgroup.co.tz
Subject: Application

Senior Accountant Job in Tanzania
Reviewed by Unknown
on
10:41:00 PM
Rating: