BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) MWAKA 2014
1.0 UTANGULIZI
Katika Mkutano wake wa 102 uliofanyika tarehe 04/11/2014, Baraza la Mitihani la Tanzania liliidhinisha kutangazwa kwa matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi ulifanyika kuanzia tarehe 10 hadi 11 Septemba, 2014. Watahiniwa walifanya mtihani huo kwa kutumia Karatasi Maalum za “Optical Mark Reader- OMR” ambazo zilisahihishwa kwa kutumia Mfumo wa kompyuta. Matumizi ya teknolojia ya OMR kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi yalianza mwaka 2012.
2.0 USAJILI WA WATAHINIWA
Jumla watahiniwa 808,085 wa Shule za Msingi walisajiliwa kufanya mtihani huo wakiwemo wasichana 429,624 sawa na asilimia 53.17 na wavulana 378,461 sawa na asilimia 46.83. Kati ya watahiniwa waliosajiliwa, watahiniwa 691 walikuwa ni wenye uono hafifu, watahiniwa 87 walikuwa ni wasioona, watahiniwa 374 wenye matatizo ya kusikia, watahiniwa 252 wenye mtindio wa ubongo na watahiniwa27 wenye ulemavu zaidi ya mmoja.
Watahiniwa 792,122 sawa na asilimia 98.02 ya waliosajiliwa walifanya mtihani. Kati yao wasichana walikuwa 422,625 sawa na asilimia98.37 na wavulana walikuwa 369,497 sawa na asilimia 97.63. Watahiniwa 15,963 sawa na asilimia 1.98 hawakufanya mtihani kutokana na sababu mbalimbali, zikiwemo utoro na ugonjwa. Kati yao wasichana ni 6,999 sawa na asilimia 1.63 na wavulana ni 8,964 sawa na asilimia 2.37.
3.0 MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI 2014
3.1 Ufaulu kwa ujumla
Jumla ya watahiniwa 451,392 kati ya 792,118 waliofanya mtihani huo wamepata alama 100 au zaidi katika alama 250.Idadi hii ni sawa na asilimia 56.99 . Kati yao wasichana ni226,483 ambao ni sawa na asilimia 53.59 na wavulana ni224,909 sawa na asilimia 60.87. Miongoni mwa watahiniwa waliofaulu wamo wenye ulemavu 795 (wasichana 355 ambao ni sawa na asilimia 44.65 na wavulana 440 ambao ni sawa na asilimia 55.35 ya watahiniwa wote wenye ulemavu waliofanya mtihani). Mwaka 2013 asilimia ya watahiniwa walipata alama100 au zaidi ilikuwa 50.61, hivyo kuna ongezeko la ufaulu kwa asilimia 6.38.
Mchanganuo wa ufaulu katika madaraja mbalimbali umeainishwa katika jedwali lifuatalo:
Daraja
|
Wavulana
|
Wasichana
|
Jumla
| |||
Idadi
|
Asilimia
|
Idadi
|
Asilimia
|
Idadi
|
Asilimia
| |
A
|
6,378
|
1.73
|
3,953
|
0.94
|
10,331
|
1.30
|
B
|
55,460
|
15.01
|
43,329
|
10.25
|
98,789
|
12.47
|
C
|
163,071
|
44.13
|
179,201
|
42.40
|
342,272
|
43.21
|
A-C
|
224,909
|
60.87
|
226,483
|
53.59
|
451,392
|
56.99
|
D
|
135,242
|
36.60
|
186,697
|
44.18
|
321,939
|
40.64
|
E
|
9,346
|
2.53
|
9,441
|
2.23
|
18,787
|
2.37
|
3.2 Ufaulu Kimasomo
Takwimu za matokeo zinaonesha kuwa ufaulu katika masomo yote umepanda kwa asilimia kati ya 0.64 na 8.94 ikilinganishwa na mwaka 2013. Watahiniwa wamefaulu zaidi katika somo laKiswahili ambapo ufaulu ni asilimia 69.70 na somo walilofaulu kwa kiwango cha chini zaidi ni Hisabati lenye ufaulu wa asilimia37.56. Mchanganuo zaidi katika ufaulu wa masomo umeainishwa katika jedwali lifuatalo:
SUBJECT NAME
|
YEAR
|
CLEAN
|
PASSED (A-C)
|
GRADE D
|
GRADE E
| |||
KISWAHILI
|
2013
|
844,704
|
583,348
|
69.06
|
207,635
|
24.58
|
53,721
|
6.36
|
2014
|
791,924
|
552,003
|
69.70
|
198,993
|
25.13
|
40,928
|
5.17
| |
KIINGEREZA
|
2013
|
844,678
|
300,001
|
35.52
|
437,695
|
51.82
|
106,982
|
12.67
|
2014
|
791,910
|
307,613
|
38.84
|
431,163
|
54.45
|
53,134
|
6.71
| |
MAARIFA YA JAMII
|
2013
|
844,708
|
447,657
|
53.00
|
347,014
|
41.08
|
50,037
|
5.92
|
2014
|
791,938
|
454,043
|
57.33
|
296,592
|
37.45
|
41,303
|
5.22
| |
HISABATI
|
2013
|
844,690
|
241,741
|
28.62
|
452,937
|
53.62
|
150,012
|
17.76
|
2014
|
791,869
|
297,411
|
37.56
|
387,489
|
48.93
|
106,969
|
13.51
| |
SAYANSI
|
2013
|
844,570
|
401,059
|
47.49
|
378,834
|
44.86
|
64,677
|
7.66
|
2014
|
791,932
|
434,679
|
54.89
|
297,167
|
37.52
|
60,086
|
7.59
|
4.0 SHULE KUMI ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI
Shule 10 bora Kitaifa katika PSLE 2014 zimeainishwa katika jedwali lifuatalo
NAMBA
|
JINA LA SHULE
|
IDADI
|
MKOA
|
NAFASI
|
PS0904095
|
TWIBHOKI
|
33
|
MARA
|
1
|
PS1303065
|
MUGINI
|
40
|
MWANZA
|
2
|
PS1307121
|
PEACELAND
|
17
|
MWANZA
|
3
|
PS1304001
|
ALLIANCE
|
25
|
MWANZA
|
4
|
PS1701035
|
KWEMA
|
50
|
SHINYANGA
|
5
|
PS0501188
|
ST SEVERINE
|
53
|
KAGERA
|
6
|
PS1701064
|
ROCKEN HILL
|
58
|
SHINYANGA
|
7
|
PS0202083
|
TUSIIME
|
168
|
DAR ES SALAAM
|
8
|
PS0702252
|
IMANI
|
29
|
KILIMANJARO
|
9
|
PS1701062
|
PALIKAS
|
19
|
SHINYANGA
|
10
|
5.0 WATAHINIWA WALIOPATA ALAMA ZA JUU KATIKA MASOMO
Wapo watahiniwa walioweza kufaulu kwa kupata alama 50/50 katika baadhi ya masomo ambapo English Language walikuwa 7,600, Kiswahili 32 na Hisabati 34. Ingawa somo la Hisabati lina ufaulu wa chini zaidi kuliko masomo yote, watahiniwa 34 wamepata alama50/50 katika somo hilo ambapo kati yao Wasichana ni 08 naWavualana ni 26 kama ilivyo katika majedwali yafuatayo:
Orodha ya Wasichana waliopata alama 50/50 katika somo la Hisabati.
S/No
|
NAMBA YA MTAIHINIWA
|
JINA LA MTAHINIWA
|
JINA LA SHULE
|
MKOA
|
1.
|
PS0203012-166
|
RACHEL IBRAHIMU KIUNSI
|
KIMARA-'B'
|
DAR ES SALAAM
|
2.
|
PS0203077-020
|
MARIAM WILSON CHACHA
|
PARADIGMS
|
DAR ES SALAAM
|
3.
|
PS0401041-023
|
DIANA PETER NJAU
|
ST. CHARLES
|
IRINGA
|
4.
|
PS0501188-049
|
SOFIA GIDION NGERAGEZA
|
ST. SEVERINE
|
KAGERA
|
5.
|
PS0904095-021
|
ANNABHOKE WAMBURA MAGORI
|
TWIBHOKI
|
MARA
|
6.
|
PS0904095-022
|
ATUGONZA NEWTON KAMZOLA
|
TWIBHOKI
|
MARA
|
7.
|
PS0904095-023
|
CATHERINE MOKORO MAGORI
|
TWIBHOKI
|
MARA
|
8.
|
PS1701035-041
|
EDINA NGASSA SHABU
|
KWEMA
|
SHINYANGA
|
Orodha ya Wavulana waliopata alama 50/50 katika somo la Hisabati
S/No
|
NAMBA YA MTAHINIWA
|
JINA LA MTAHINIWA
|
JINA LA SHULE
|
MKOA
|
1.
|
PS0202109-010
|
OMEGA AMOS LUGATA
|
SABISA
|
DAR ES SALAAM
|
2.
|
PS0203058-021
|
JOHN REGINALD BUGERAHA
|
MOUNTEVEREST
|
DAR ES SALAAM
|
3.
|
PS0401043-026
|
MANSOOR MOHAMED MALAMBO
|
ST. DOMINICSAVIO
|
IRINGA
|
4.
|
PS0501188-007
|
ELIAH DANIEL MAKAMBA
|
ST. SEVERINE
|
KAGERA
|
5.
|
PS0501188-013
|
GUSTAVIUS MWOMBEKI BAGAYA
|
ST. SEVERINE
|
KAGERA
|
6.
|
PS0501188-017
|
MACHUMU NELSON SAMSON
|
ST. SEVERINE
|
KAGERA
|
7.
|
PS0501188-018
|
MAPATO MAARIFA MAGESA
|
ST. SEVERINE
|
KAGERA
|
8.
|
PS0501188-022
|
OBED LUCAS SAMWEL
|
ST. SEVERINE
|
KAGERA
|
9.
|
PS0501188-023
|
OCTAVIUS IJUMBA MTAYOBA
|
ST. SEVERINE
|
KAGERA
|
10.
|
PS0504092-004
|
DASTAN ADRIAN PIUS
|
OMUKALIRO
|
KAGERA
|
11.
|
PS0504092-009
|
DICKSON NOVATH NDAULA
|
OMUKALIRO
|
KAGERA
|
12.
|
PS0504092-015
|
MALICK AHMAD KUDABA
|
OMUKALIRO
|
KAGERA
|
13.
|
PS0504092-016
|
MATHIAS GODFREY LUGALABAMU
|
OMUKALIRO
|
KAGERA
|
14.
|
PS0504092-017
|
MICHAEL JONAS MICHAEL
|
OMUKALIRO
|
KAGERA
|
15.
|
PS0504113-021
|
ROBERT INNOCENT NOEL
|
TEGEMEO
|
KAGERA
|
16.
|
PS0702202-029
|
JUNIOR JOHNSON LOSARU
|
SCOLASTICA
|
KILIMANJARO
|
17.
|
PS0702202-042
|
SAMSON HEAVENLIGHT NKYA
|
SCOLASTICA
|
KILIMANJARO
|
18.
|
PS0904095-007
|
JAMES JOEL NYAROBI
|
TWIBHOKI
|
MARA
|
19.
|
PS0904095-017
|
ROLLY GEDI MABURA
|
TWIBHOKI
|
MARA
|
20.
|
PS0908004-020
|
EMMANUEL BENARD SARUNGI
|
BUHEMBA
|
MARA
|
21.
|
PS1101170-004
|
HAJI ADAM NJALAMOTO
|
ST. MARY'S
|
MOROGORO
|
22.
|
PS1104004-004
|
ABDULKARIM MIRAJI SAIDI
|
UHURU
|
MOROGORO
|
23.
|
PS1701035-017
|
KISHIMBA MASUNGA SHIMBA
|
KWEMA
|
SHINYANGA
|
24.
|
PS1703005-032
|
JACKSON PHANUEL MANGAIDA
|
BUGARAMA
|
SHINYANGA
|
25.
|
PS2401020-013
|
MASANJA HEZIRON KABASA
|
IHULIKE
|
GEITA
|
26.
|
PS2405080-028
|
NTOBI PAULO SUMBUKA
|
KASANDALALA
|
GEITA
|
6.0 MPANGILIO WA MIKOA NA WILAYA KIUFAULU
(a) Mikoa Kumi iliyoongoza Kitaifa ni
MKOA
|
IDADI
|
WALIOFAULU
(A-C)
|
ASILIMIA
|
NAFASI
|
DAR ES SALAAM
|
59,576
|
46,434
|
77.94
|
1
|
KILIMANJARO
|
37,918
|
26,192
|
69.08
|
2
|
MWANZA
|
53,596
|
37,017
|
69.07
|
3
|
IRINGA
|
21,363
|
14,650
|
68.58
|
4
|
ARUSHA
|
34,348
|
23,250
|
67.69
|
5
|
TANGA
|
39,066
|
26,261
|
67.22
|
6
|
NJOMBE
|
17,115
|
11,389
|
66.54
|
7
|
KAGERA
|
37,306
|
24,501
|
65.68
|
8
|
GEITA
|
27,854
|
17,560
|
63.04
|
9
|
MTWARA
|
25,015
|
15,608
|
62.39
|
10
|
(b) Wilaya Kumi zilizoongoza Kitaifa ni
WILAYA
|
IDADI
|
WALIOFAULU (A-C)
|
ASILIMIA
|
NAFASI
|
MPANDA MJI (KATAVI)
|
1,345
|
1,207
|
89.74
|
1
|
BIHARAMULO (KAGERA)
|
2,680
|
2,389
|
89.14
|
2
|
MOSHI(M) (KILIMANJARO)
|
3,565
|
3,145
|
88.22
|
3
|
KIBAHA DC (PWANI)
|
1,532
|
1,350
|
88.12
|
4
|
ARUSHA (M) (ARUSHA)
|
9,097
|
7,919
|
87.05
|
5
|
KINONDONI(M) (DAR ES SALAAM)
|
11,110
|
9,533
|
85.81
|
6
|
KOROGWE VIJIJINI (TANGA)
|
4,868
|
4,118
|
84.59
|
7
|
ILALA(M) (DAR ES SALAAM)
|
12,091
|
10,038
|
83.02
|
8
|
IRINGA(M) (IRINGA)
|
3,250
|
2,681
|
82.49
|
9
|
MJI MAKAMBAKO (NJOMBE)
|
2,179
|
1,785
|
81.92
|
10
|
7.0 WATAHINIWA WALIOFUTIWA MATOKEO
Baraza la Mitihani la Tanzania limefuta matokeo yote ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE), 2014 ya mtahiniwa 01 aliyebainika kufanya udanganyifu katika mtihani huo. Idadi hii ni ndogo ikilinganishwa na watahiniwa 13 waliofutiwa matokeo yao mwaka 2013 kwa sababu za udanganyifu.
Baraza linachukua fursa hii kuzipongeza sana Kamati za Uendeshaji Mitihani za Mikoa, Wilaya na walimu wote waliosimamia mitihani hii kwa kuzingatia ipasavyo Kanuni za Usimamizi wa Mitihani ya Taifa. Aidha, Baraza linawapongeza kwa dhati watahiniwa wote waliofanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi, 2014 kwa kutojihusisha na udanganyifu katika mitihani.
8.0 HITIMISHO
Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi, 2014 yamewekwa kwenye tovuti za Baraza la Mitihani, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI ili kila mtahiniwa aweze kuona matokeo yake. Tovuti hizo ni,
Baraza la Mitihani la Tanzania litawasilisha Matokeo hayo kwenye Mamlaka zinazohusika ili zifanye uchaguzi wa watahiniwa wa kujiunga na elimu ya Sekondari. Hivyo, matokeo ya uchaguzi wa watahiniwa wa kujiunga na Kidato cha Kwanza yatatangazwa na Mamlaka husika mara baada ya zoezi la uchaguzi kukamilika.
Dkt. Charles E. Msonde
KATIBU MTENDAJI
TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) MWAKA 2014
Reviewed by Unknown
on
7:43:00 AM
Rating: