Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi inapenda kuwatangazia Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi 13 kwa ajili ya kujaza nafasi wazi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi anakaribisha maombi ya Watanzania wenye
sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi 13 kwa ajili ya kujaza nafasi katika Halmashauri yake
Msaidizi Ustawi wa Jamii II
Sifa ya kuingilia moja kwa moja.
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya mwaka mmoja ya Ustawi wa Jamii kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali.
MAJUKUMU YA KAZI -
Kutambua Na Kuhudumia watu walio katika makundi maalum na mazingira hatarishi
Kukusanya takwimu zinahusu watu walio katika makundi maalum na mazingira hatarishi
Kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali kutoka kwenye family na watu wenye dhiki. Kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Rais kutoka kwa. kina mama
waliojifungua watotowatatu au zaid kwa mara moja.
Kufanya kazi nyingine atakazopanqiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na Elimu,uzoefu na ujuzi wake.
MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali ngazi ya Mshahara TGS.C kwa mwezi.

Katibu Mahsusi Daraja La III (Personal Secretary Grade III) NAFASI 10
MAJUKUMU YA KAZI
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida ..
Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehernu wanapoweza
kushughulikiwa.
Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za
Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa wakati unaohitajika.
Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majadala, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika e- katika shughuli za kazi hapo ofisini.
Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaldlzl wake na pia kumuarifu
kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
Kusaidia kupokea majalada, kuvaqawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo, na kuyakusanya,
kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua
ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja
na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na
kupata cheti katika programu za Window, Microstoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B kwa mwezi.
NB: MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
I.Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
II. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatiwa hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili.
III. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na
namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
IV. Maombi vote vaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka au kupotea.
W.Postgraduate/Degree/ Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
VI. Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VJ
VII. Picha moja "Passport size" ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
VIII. Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hatrmatokeo za kidato
cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
IX. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na
kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
X.Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
XI. Uwasilishaji wa taarifa· na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
XII. Mwisho wa kupokea barua za maombini tarehe 04 April, 2015
XIII.Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Mkurugenzi wa Halmashauri
ya Wilaya ya Mbozi HAURUHUSIWI.
XIV. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo. .

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi vote yaandikwe katika anuani ifuatayo.
Mkurugenzi Mtendaji(W)
Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi,
SLP.3
Essey Ngoi
Kaimu Mkurugenzi Wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi
Nakala:-Katibu Mkuu Sekritarieti ya Ajira

AJIRA Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi - 3/20/2015
Reviewed by Unknown
on
5:49:00 AM
Rating: