KUITWA KAZINI
Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) anawatangazia wasailiwa wote waliofaulu usaili wa mahojiano uliofanyika kuanzia tarehe 19 – 20 Desemba, 2014 kuripoti kazini kuanzia tarehe 08 Januari, 2015 katika Ofisi za Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) zilizopo Mtaa wa Samora / Azikiwe Jengo la IPS, Ghorofa ya 3.
Orodha ya majina ya walioitwa kuripoti kazini ni kama ifuatavyo:-

KUITWA KAZINI - BODI YA UTALII TANZANIA - JAN 2015
Reviewed by Unknown
on
11:37:00 PM
Rating: