Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa - Julai 2015

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa anawatangazia wananchi wote wenye sifa zinazotakiwa kuomba
kujaza nafasi za kazi mbalimbali kama ifuatavyo:-


MTENDAJI WA KIJIJIIII - (NAFASI 32) .

SIFA/ELIMU/UJUZI
Awe na Ellmu ya Kidato cha IVNI aliyehitimu (heti/Astashahada katika fani ya Utawala. Sheria, Elimu ya
Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Oodoma au
Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

KAZI NA MAJUKUMU
Kuwa Katibu wa Kamati ya Kijiji.
Kuwa Mtendaji Mkuu wa Kijiji.t.i
Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmas~uri katika Kijiji.
Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji.
Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji. '
Mshaurl wa Kamatl ya Kijiji kuhusu katika masuala ya Ulinzi na Usalama.
Msimamizi wa Utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu Uondoaji wa Njaa na Umaskini katika Kijiji.
Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote.
Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Kijiji na
Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
UMRI:- Mwombaji awe Aa siopungua miaka 18 na usiozidi tniaka 40.

MSHAHARA
Kianzio cha ngazi ya mshahara ni TGS. B (1)

MSAIDIZI WA KUMBUK.UMBU II (NAFASI 1)

SIFA/ELIMU/UJUZI
Awe na Elimu ya Kidato cha IV/VI aliyehltimu Cheti/Astashahada ya Utunzaji Kumbukumbu katika
mojawapo ya fani za Afya) Masjala, Mahakama na Ardhi katika chuo cha Utumishi wa Umma au chochote
kinachotambuliwa na serikali katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu.

KAZI NA MAJUKUMU
Hili ni daraja la mafunzo katika kazi, hivyo watafanya kaii kwa maelekezo ya Wasaidizi wa Kumbukumbu
walio juu yao pamoja na:
Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/majalada yanayohitajiwa na wasomaji.
Kudhibiti upokeaji, uandlklshaji wa kumbukumbu/nyaraka.
Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo
husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file racks/cabinets) katika Masja/a/vyumba
vya kuhi'fadhiyva kurnbukurnbu,
Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka na kadhalika) katika majalada.
Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.

UMRI: Mwombaji awe na umri usiopungua miaka 18 na uslozldi miaka 40.

MSHAHARA
Kianzio cha ngazi ya mshahara ni TGS. B (1).

KATIBU MUHTASIIII - (NAFASI 2)

SIFA/ELIMU/UJUZI
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ra Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya
Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na
wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikall na kupa'ta
cheti katika programu za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.


KAZI NA MAJUKUMU
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.
Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza
kushughulikiwa.
Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu
wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi na kumuarifu
Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika
katika shughuli za kazi hapo ofisini. .
Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu
taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya,
kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
UMRI- Mwombaji awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 40.

MSHAHARA
Kianzio cha ngazi ya mshahara ni TGS. B (1).

APPLICATION INSTRUCTIONS:

MAELEZO YA JUMLA
Maombi yote yawasilishwe yakiwa yameambatishwa na CV pamoja na nakala za vyeti vya kuhitimu elimu na mafunzo {vyeti vinavyoonyesha kiwango cha kufaulu sio "Leaving Certificate

MUHIMU
MUOMBAJI ANATAKIWA KUTUMIA VYETI VYAKE HALISI NA HALALI, KWANI UHAKIKI WA VYETI UTAFANYIKA BARAZA
LA MITIHANI NA VYUO VYA MAFUNZO ALIVYOPITIA. ENDAPO ITAJULIKANA KUWA NA UDANGANYIFU WA AINA
YOYOTE HATUA ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA.
WAOMBAJI WALIOHITIMU MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA WATAPEWA KIPAUMBELE KWA KUWA MAFUNZO
HAYO NI MUHIMU YENYE KULETA UZALENDO NA UADILIFU KATIKA UTUMISHI WA UMMA.
Maombi yatumwe kwa Anwani ifuatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI WllAYA
HALMASHAURI VA WILAVA VA KILOSA
S.L.P 65
KILOSA
Mwisho wa kupokea maombi ni siku kumi na nne (14) baada ya kutolewa Tangazo.
Imetolewa na:
Idd A. Mshili
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA VA KILOSA
Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa - Julai 2015 Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa - Julai 2015 Reviewed by Unknown on 5:10:00 AM Rating: 5

JOBS CATEGORY

Tanzania Kenya NGO JOBS Uganda Best Jobs Consultancy Rwanda ICT JOBS Administrative United Nations Sudan Best Jobs Finance Health - Medical Engineering Ethiopia Education Agricultural Lecturer Human Resources Somalia Media Congo - Kinshasa Legal Jobs Bank Jobs Monitoring and Evaluation Mining World Vision Burundi Procurement African Barrick Gold Accountant Zambia Sales and Marketing US EMBASSY East African Community Mozambique Telecoms Research CARE International Save The Children Plan International Arusha Malawi South Sudan Oxfam Scholarships African Development Bank Finance and Administration SafariCom Aviation The Commonwealth American Embassy Sales Zanzibar Environmental Catholic Relief Services Dar es salaam USAID Operations FHI 360 UNDP Security World Bank Economist TradeMark East Africa Unicef Hospitality Managers International Rescue Committee (IRC) Restless Development Accounting Civil Engineers AMREF Morogoro Utumishi AfDB African Development Bank COOPI - Cooperazione Internazionale Driver - Logistics Path International Mwanza African Union Tigo Jobs Marketing Mbeya Teaching Au African Union PSI Population Services International Pwc PricewaterhouseCoopers East African Breweries North Mara Gold Mine ACTED Djibouti Malaria Consortium Bulyanhulu Gold Mine DFID Driver Buzwagi Gold Mine Jhpiego COMESA FINCA JOBS International Jobs Adeso Danish Refugee Council Kilimanjaro Nairobi Coca-Cola Handicap International Pact International Rio Tinto Solidarités International Tender EGPAF Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation Logistics Serengeti Breweries Ltd Nation Media Group Africare Norwegian Refugee Council Samaritan's Purse Chemonics International COUNTRY DIRECTOR ICAP of Columbia University InterShips Precision Air RwandAir Marie Stopes International (MSI) Serengeti Breweries Volunteer Climate Change IGAD Tetra Tech ARD Agriculture Jobs Dodoma Iringa One Acre Fund Project Management Clinton Health Access Initiative (CHAI Technoserve Twaweza East Africa ActionAid Lutheran World Federation SADC Secretariat Tanga Vso International ACDI/VOCA Halmashauri Agha Khan Kenya Commercial Bank World Agroforestry Centre Deloitte East Africa International Organization for Migration (IOM) COMESA Secretariat: Software Engineering Safety and Security Shinyanga Jobs Tanzania Breweries Pathfinder International World Health Organization KPMG TANROADS Tanzania Electric Supply Company British Council Futures Group KCB BANK UN-Habitat WFP World Food Programme Barclays GEITA GOLD MINING TANESCO Electrical Engineer Food and Agriculture Organization GOAL Mombasa Tabora WWF World Wide Fund for Nature Microsoft Tanzania Ports Authority East African Development Bank Family Health International (FHI) IBM EAST AFRICA IntraHealth International Mercy Corps SERIKALINI - GOVERNMENT OF TANZANIA AccessBank Community Development Jobs Data Base Management Google Africa ICAP - TZ KEMRI/CDC Program WaterAid Tanzania Auditor SNV International Stanbic Bank Amnesty Horn Relief Kampala Management Systems International (MSI) Standard Chartered Bank VETA Christian Aid DIAMOND TRUST BANK Helen Keller International Help Age Mtwara Uganda Telecom Airtel Africa Equity Bank Internships Marie Stopes TCRA Web Development B B C WORLD SERVICE Human Rights Kigali Makerere University Nile Basin Initiative Kenyatta University Kigoma Mzumbe University NSSF National Social Security Fund Nile Breweries Limited Tulawaka Gold Mine University of Nairobi kenya Airways Bank of Tanzania Graduates MTN Muhimbili National Hospital Nepad Partners in Health Room to Read SUMATRA UNWOMEN African Wildlife foundation (AWF) KEMRI Kagera Librarian MENTOR Initiative Trainee USAILI - INTERVIEW Uiversity of Nairobi WaterAid International icipe Project CAFOD - Catholic Agency for Overseas Development Egerton University EngenderHealth Goal Ireland Kenyan Banks Lake Victoria Basin Commission Peace Corps TANAPA TASAF Tanzania Social Action Fund Zanzibar University ACB AKIBA COMMERCIAL BANK AGRA Alliance for a Green Revolution in Africa Advans Bank Ethiopian Airlines Freedom House IITA International Institute of Tropical Agriculture Legal Moshi NMB BANK Resolute Tanzania Singida Uganda Uganda National Roads Authority University of Dar es salaam University of Dodoma British High Commission ChildFund EWURA FilmAid International NECTA TPDC Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) United States International University World Concern Aga Khan Foundation CBA Commercial Bank of Africa Ecomist Ernst and Young IUCN International Union for Conservation of Nature International Medical Corps Islamic Relief Kakira Sugar Musoma National Institute for Medical Research OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA Relief International TAA Tanzania Airports Authority Trócaire Uganda Revenue Authority VODACOM TANZANIA VSF Belgium Architects Hivos IFC International Finance Corporation Ifakara Health Institute Inoorero University International Commercial Bank Kenya Red Cross Society MADEREVA Medical Oil and Gas Pwani University College SOKOINE UNIVERSITY Tumaini University Water Engineering AWF African Wildlife Foundation Acacia Mining Accounts African Virtual University Altima Africa Ardhi University Bank of Uganda Business Development Concultancy Del Monte Kenya Embassies Kenya Airports Authority Lake Victoria South Water Services Board Mara National Bank of Commerce RECORDS MANAGEMENT JOBS RUKWA Ruvuma Search for Common Ground Songea TTCL Tanzania Telecommunications Company Limited Unilever War Child International Zinduka Afrika ACORD AKU ​Aga Khan University Africa Nazarene University Africa Rice Center (AfricaRice) Aga Khan Health Services CRDB BANK Commercial Bank of Africa Daraja Tanzania Engineers Registration Board (ERB) Fina Bank International Potato Center International Potato Center (CIP) Intrahealth Jomo Kenyatta University Kilimanjaro Christian Medical Centre Kyambogo University Lindi Jobs MCL Mwananchi Communications MUHAS-harvad Moi University NBC BANK National University of Rwanda Ngorongoro Conservation Area Authority Njombe Nuru International Nzoia sugar Company RTI International SUA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE THE LAW SCHOOL OF TANZANIA TRA Tanzania Revenue Authority Tanzania Postal Bank The Foundation For Civil Society Udhamini wa Masomo Western Union AIR TANZANIA Action Against Hunger (ACF) Agricultural Society of Kenya BRALIRWA Bondo University College Caritas Comoros Concern Worldwide Conservation Jobs Consolidated Bank of Kenya DHL Express Ewaso Ngiro South River Basin Development Authority Geologist Gulf African Bank INSTITUTE OF ADULT EDUCATION Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology Kabale University Kabale University (KAB) Kenya Ports Authority KickStart International MORUWASA Morogoro Urban Water and Sanitation Authority MSH Management Sciences for Health Mumias Sugar Company Nairobi Hospital Nkumba University Rural Electrification Agency SOKINE UNIVERSITY SONGWE STAMIGOLD Stores TACAIDS TARURA TCU Tanzania Commission for Universities Tullow Oil World Lung Foundation (WLF) ALAF Limited Aga Khan Development Network (AKDN) Aga Khan Hospital Air Malawi American Refuge Committee BENKI YA POSTA - TPB BANK BTC Belgian Technical Cooperation Bhttp://www.blogger.com/img/blank.gifank of Tanzania Bioversity International CHF International Customer Service Jobs DANGOTE DIT DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY Danida Dar es Salaam Institute of Technology Daystar University ECOBANK ETDCO Electrical Transmission and Distribution Construction and Maintenance Company European Union IFM INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT INSURANCE JOBS - BIMA ITECH Internews® Network KUITWA KAZINI Kenya Accreditation Service Kenya Polytechnic University College Kilombero Sugar Company Kisii University College Kisumu Laboratory Jobs MSD MEDICAL STORES DEPARTMENT MSF Switzerland Management Sciences for Health Manyara Maseno University Ministry of State for Planning Muteesa 1 Royal University Médecins Sans Frontières NIDA National Identification Authority Narok University College OSHA Occupational safety and Health Authority Open Society Initiative for Eastern Africa (OSIEA) PA PAC PEPSI POLICE - POLISI Petroleum EngineerS RWANDA HOUSING AUTHORITY Seychelles Songas TBC TANZANIA BROADCASTING CORPORATION TBS TANZANIA BUREAU OF STANDARDS TFDA TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY TIB - Tanzania Investment Bank Tanzania Mortagage Refinance Company Tanzania Teachers’ Union Transmara Sugar Company Tropical Pesticides Research Institute Tumba College of Technology Twiga Cement UNESCO UNOCHA Umma University University WRP Walter Reed Project ZANTEL ao uga
Powered by Blogger.