Position: Mhasibu-Accountant
Location: Dar es Salaam
Deadline :Dec 22 2013
Descriptions:
PRIMEFUEL SACCOS ni chama cha kuweka na Kukopa chenye namba ya usajiri DSR 139 Kinachoendeshwa kwa kuzingatia sheria na kanuni mbalimbali na pia kuzingatia weredi wa biashara. PRIMEFUEL SACCOS inakua Kwa kasi ya ajabu ambapo ndani ya miaka miwili tangu kusajiliwa kwake imeweza kurekodi faida inayongezeka Kwa zaidi ya asilimia 50, kusajili wanachama wapya 180 na pia kuanzisha miradi mbalimbali ya kiuchumi. Kwa mwaka 2014 tumelenga kuongeza idadi ya wanachama hadi kufikia 300, kuendelea kutoa mikopo yenye ongezeko la asilimia zaidi ya 50% na pia kuongeza miradi mbalimbali mipya ya kimaendeleo na kiuchumi na pia kusimamia vizuri miradi iliyopo.
Qualifications:
Kutoka na ukuaji huu wa chama tunahitaji Mhasibu mwenye sifa zifuatazo:
• Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili (2) wa kufanya kazi kama Mwajiriwa wa SACCOS
• Awe na shahada ya juu ya Uhasibu
• Awe na uwezo wa kufunga hesabu
• Awe na uzoefu wa kutumia DOVE SYSTEM
• Awe na uzoefu wa kusimamia watu
• Aonyeshe uwezo wa kujua sheria na kanuni za Ushirika
• Aonyeshe uwezo wa kuandaa bajeti na kusimamia
• Awe na uwezo wa kuandaa mchanganuo wa biashara
• Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili (2) wa kufanya kazi kama Mwajiriwa wa SACCOS
• Awe na shahada ya juu ya Uhasibu
• Awe na uwezo wa kufunga hesabu
• Awe na uzoefu wa kutumia DOVE SYSTEM
• Awe na uzoefu wa kusimamia watu
• Aonyeshe uwezo wa kujua sheria na kanuni za Ushirika
• Aonyeshe uwezo wa kuandaa bajeti na kusimamia
• Awe na uwezo wa kuandaa mchanganuo wa biashara
How to apply:
Kama unazo sifa zilizo tajwa hapo juu tafadhari tuma cv na barua ya maombi yako Kwa
Meneja
Primefuel Saving & Credit Cooperatives
P.O.BOX 2873
DSM
Maombi yote yatumwe kwa barua pepe.
Email:primesaccos@primefuels.com
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI TAREHE 22.12.2013.
Meneja
Primefuel Saving & Credit Cooperatives
P.O.BOX 2873
DSM
Maombi yote yatumwe kwa barua pepe.
Email:primesaccos@primefuels.com
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI TAREHE 22.12.2013.
Mhasibu - Accountant
Reviewed by Unknown
on
2:26:00 AM
Rating: