NAFASI ZA KAZI JHPIEGO NOV 2013
Wahamasishaji wa huduma za hiari ya Tohara ya Wanaume ( 30 )
Njombe 10 , Iringa 10 , Tabora 10
- Awe na umri usiopungua miaka 25
- Awe na uwezo wa kuzungumza kiswahili , lugha ya eneo lake itakuwa bora zaidi
- Uzoefu wa kazi za uhamasishaji utamuongezea sifa muombaji
- Awe tayari kusafiri kwa asilimia 50 ya muda wa kazi hii
- Elimu kidato cha nne na kuendelea
Wahamasishaji wa huduma za hiari ya Tohara ya Wanaume – Huduma zinazotembea ( mobile services )
Njombe 3 , Iringa 3 , Tabora 3

- Awe tayari kusafiri kwa asilimia 80 ya muda wa kazi hii
- Elimu kidato cha nne na kuendelea
- Awe mvumilivu kufanya kazi hata nje ya masaa ya kazi na siku za jumamosi na jumapili
Afisa Msaidizi Vifaa ( Logistics Assistant ) – Huduma ya Hiari ya Yohara ya Wanaume
Iringa , Njombe , Tabora – Mkataba wa Kazi ni miezi 9
- Atahusika na uandaaji wa vifaa vyote vinavyohusika na huduma ya hiari ya tohara ya wanaume inayotembea
- Uwezo wa kuandika na kusoma kiswahili
- Ujuzi na uzoefu wa kazi zinazofanana na hizi
- Uwezo wa kujifunza huduma na matengenezo ya genereta za umeme na viunguza taka
Waombaji wote watume vyeti na barua za maombi zenye majina 3 ya wadhamini wanaotambulika na historia ya mishahara yao .
Human Resources Manager , Jhpiego , Pobox 9170 , Plot 72 , Block 45B , New Bagamoyo Road , Victoria Dar es salaam ,Tanzania Email : HRTZ@jhpiego.org
Mwisho wa maombi ni 15 November 2013 saa 8.00 alasiri
Chanzo : Raia Mwema Novemba 13 – Novemba 19 2013

Reviewed by Unknown
on
10:29:00 AM
Rating: